product image
product image

THE LEAN BUSINESS ROADMAP

$6.25$5Save 20%

Transform Your Business Idea Into a Profitable Company in 30 Days

THE LEAN BUSINESS ROADMAP

Acha Kubahatisha na Mtaji Wako — Jenga Biashara Inayopendwa na Soko, Afrika Mashariki.

Zaidi ya 80% ya biashara mpya Tanzania na Afrika Mashariki zinafunga ndani ya mwaka mmoja — si kwa uvivu, bali kwa sababu tunajenga kulingana na mawazo yetu badala ya mahitaji halisi ya soko.

The Lean Business Roadmap ni mwongozo wa vitendo unaokupa mbinu za kisasa za Lean Startup na Customer Development, zilizooanishwa na uhalisia wa Kariakoo, Mlimani City, Morogoro na Nairobi.

Utajifunza:

  • Jinsi ya kuepuka mtego wa “fremu na samani” kabla ya kuthibitisha soko
  • Tofauti kati ya Startup na Kampuni Kubwa, na kwa nini KUTAFUTA ndiyo kazi yako ya kwanza
  • Jinsi ya kutumia mtaji mdogo kufanya majaribio mengi (Runway mpya)
  • Sayansi ya Customer Development — kuongea na wateja halisi
  • Jinsi ya kutengeneza MVP na kuanza kuuza bila gharama kubwa

Kinafaa kwa: Wajasiriamali wanaoanza, waanzilishi wa Startup, wenye biashara zinazosuasua, na wanafunzi wa biashara.

Frequently asked questions