

Acha Kubahatisha na Mtaji Wako — Jenga Biashara Inayopendwa na Soko, Afrika Mashariki.
Zaidi ya 80% ya biashara mpya Tanzania na Afrika Mashariki zinafunga ndani ya mwaka mmoja — si kwa uvivu, bali kwa sababu tunajenga kulingana na mawazo yetu badala ya mahitaji halisi ya soko.
The Lean Business Roadmap ni mwongozo wa vitendo unaokupa mbinu za kisasa za Lean Startup na Customer Development, zilizooanishwa na uhalisia wa Kariakoo, Mlimani City, Morogoro na Nairobi.
Utajifunza:
Kinafaa kwa: Wajasiriamali wanaoanza, waanzilishi wa Startup, wenye biashara zinazosuasua, na wanafunzi wa biashara.