product image

USIPOZIBA UFA UTAJENGA UKUTA

$11.25$9Save 20%
2 members

JINSI TOFAUTI NDOGO ZINAVYOVUNJA UMOJA NA MAADILI

β€œUsipoziba Ufa Utajenga Ukuta” β€” M. A. Mohamed

Ukiacha ufa mdogo bila ya kuushukhulikia unageuka kuwa mpasuko mkubwa, Kitabu hiki ni jibu la tatizo hilo;

🧱 Gundua chanzo cha migawanyiko katika jamii na familia

πŸ’¬ Jifunze nguvu ya maneno β€” yanayoumiza na yanayoponya

🀝 Pata njia za vitendo za kusamehe na kuanza upya

πŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘§ Jenga mahusiano bora, familia yenye amani na jamii yenye mshikamano

🌍 Elewa jukumu lako katika kujenga taifa bora

🌱 Acha urithi wa maadili kwa vizazi vijavyo

πŸ’‘ Badilisha maisha yako kuanzia leo β€” Kwa hatua ndogo ndogo

Kitabu hiki si cha kusoma tu β€” ni cha kuishi nacho kila siku.

πŸ“˜ Kurasa: 90 | Toleo la Kwanza: Mei 2026

βœ‰οΈ ally10599@gmail.com

Frequently asked questions
Customer reviews
5.02 ratings
Top reviews
  • 3 months ago
    Nimefaidika sana nilipo sama kitabu hiki Asante sana πŸ‘
    Written 2 days after purchase
  • 3 months ago
    Kitabu Kiko vizuri sana binafsi nimekipenda na nimejifunza vitu muhim sana katika maishaπŸ‘
    Written 3 days after purchase